Best Student Association
That Takes You Next Level

Uniting Tanzanian students across Uganda through education, culture, and mutual support. Join us to build a stronger community and a brighter future.

Explore Our Services

We provide a range of programs and support to help Tanzanian students thrive in Uganda.

Academic Support

Academic Support & Mentorship

Guidance and resources to help you excel in your studies across all Ugandan institutions.

Welfare

Welfare & Emergency Aid

Assistance during medical emergencies, bereavement, and other critical life events.

Community

Community & Cultural Events

Celebrate Tanzanian culture through sports, arts, and social gatherings that build unity.

Legal

Legal & Constitutional Guidance

Know your rights, understand the TSAU constitution, and get help with visa and legal matters.

Why Join TSAU

Be part of a growing network that supports, empowers, and unites Tanzanian students across Uganda.

0
Active Members
0
Partner Institutions
0
Years of Unity
0
Events & Programs

TSAU Membership Steps

Getting involved is simple. Follow these steps to become a part of our community.

1

Find Your Institution

Locate your university or college among our partner institutions across Uganda.

2

Choose Your Membership Type

Select from full, associate, or honorary membership based on your eligibility.

3

Enroll & Get Involved

Complete your registration, pay the membership fee, and start participating in events.

Ready to Make a Difference?

Join the TSAU community today and become part of a network that supports your academic and personal growth.

Join Now

Our History

Katiba ya Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania nchini Uganda (TSAU) ilianzishwa mwaka 2017 kwa madhumuni ya kukuza umoja miongoni mwa wanafunzi wa Tanzania wanaosoma nchini Uganda.

Katiba ya Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania nchini Uganda (TSAU) imefanyiwa marekebisho mara tatu:

  • 2021: Marekebisho ya katiba 2021 ambayo yalianza 2021-2022.
  • 2023: Marekebisho ya katiba 2023 ambayo yalianza 2023.
  • 2025/2026: Marekebisho ya katiba 2025/2026 (imepitishwa na mkutano mkuu na kuanza kutumika).

Kwa habari zaidi kuhusu hati hii tafadhali; Barua pepe: tanzanianstudentsassociationug@gmail.com

TSAU History

Our Mission & Purpose

Kusudi kuu la jumuiya ni kulinda na kukuza maslahi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania nchini Uganda.

  • Kukuza umoja kati ya wanafunzi wote wa Tanzania nchini Uganda kutoka vyuo vikuu na Taasisi mbalimbali za kujifunza.
  • Kukuza na kuanzisha ushirikiano na maelewano ya pamoja katika masuala ya kitaaluma.
  • Kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na vyombo vingine katika jitihada za kutatua matatizo yanayowakabili wanachama.
  • Kutunza na kukuza ustawi wa wanachama wake na kuwaunganisha na vyama vingine kama UTU, UWATU n.k.
TSAU Community TSAU Events

Join Our Community

Become a member and enjoy the benefits of a united Tanzanian student network in Uganda.

Get Started

Utangulizi

Sisi Wanafunzi wa Tanzania kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunatambua uwepo na uendeshaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nyumbani, sheria zinazosimamia vyama nchini Uganda na hitaji la Umoja ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kujiingiza katika Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania nchini Uganda (TSAU).

TUNAKUMBUKA mapambano yetu dhidi ya mifarakano, elimu duni na kutojua kusoma na kuandika, TSAU Imejitolea kujenga maisha bora ya baadaye Kwa kuanzisha utaratibu wa kijamii, kiuchumi na kisiasa unaozingatia kanuni ya usawa, haki ya kijamii na ustawi wa wanafunzi.

Kifungu cha 1: Jina la Jumuiya

Jina la jumuiya ni TANZANIAN STUDENT'S ASSOCIATION IN UGANDA na linaweza kufupishwa kama "TSAU".

Kifungu cha 2: Makao Makuu

Makao makuu ya Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania nchini Uganda yatakuwa mahali ambapo Rais anatoka.

Kifungu cha 3: Lugha Rasmi

Lugha rasmi za TSAU zitakuwa KISWAHILI na KIINGEREZA.

Kifungu cha 5: Ukwu wa Katiba

Katiba hii itakuwa hati kuu ya TSAU.

  • Wakati wowote unapotokea mgongano wa utatuzi, uamuzi au hatua kati ya Katiba hii na hati nyingine yoyote ya Jumuiya, katiba hii itakuwa na uwezo juu ya chombo hicho kingine na hati hiyo itakuwa batili kwa kiasi cha kutofautiana huko.
  • Katiba hii itafanyiwa marekesho kwa kura ya theluthi mbili (2/3) ya wawakilishi katika kikao cha mkutano mkuu.

Know Your Rights

Read the full constitution to understand your rights and responsibilities as a TSAU member.

Learn More

Watendaji Wakuu

Viongozi wakuu wa TSAU ni pamoja na:

Rais

Rais

Mh Mpanduji Charles

Makamu wa Rais

Makamu wa Rais

Mh Abdul Kadir

Katibu Mkuu

Katibu Mkuu

Mh Ben Anthon Kapela

Waziri Mkuu

Waziri Mkuu

Mh Musu Shahalla

Waziri wa Fedha na Mipango

Waziri wa Fedha na Mipango

Mh Nzwili Mahona

Waziri wa Elimu Sayansi na Tekinolojia

Waziri wa Elimu Sayansi na Tekinolojia

Mh Geoffrey Kavuma

Waziri wa Katiba na Sheria

Waziri wa Katiba na Sheria

Mh Abraham Lyimo

Waziri wa Habari na Mawasiliano

Waziri wa Habari na Mawasiliano

Mh Zawadi Ally Said

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii

Mh Dkt Abdallah Mohamed Abdallah

Waziri wa Mambo ya Ndani

Waziri wa Mambo ya Ndani

Mh Osten Mponela

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki

Mh Peter Pascal

Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni

Waziri wa Michezo na Utamaduni

Mh Vicent Gasper Robert

Waziri wa Usafiri, Mapokezi, Maafa na Sherehe

Waziri wa Usafiri, Mapokezi, Maafa na Sherehe

Mh Alfrida Kapinga

Lead with Us

Interested in taking up a leadership role? Contact us to learn about upcoming opportunities.

Get in Touch

Uanachama

1. Uanachama wa heshima

Mh. Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda atakuwa mwanachama wa heshima wa TSAU kwa mujibu wa ofisi yake.

2. Wanachama washirika

  • Wanafunzi wote wa jumuiya ya (TSAU) watakuwa wanachama washiriki.
  • Uanachama wa kila mwanajumuiya utakoma pale atakapomaliza/kuhitimu chuo.

3. Uanachama kamili

  • Jumuiya za Wanafunzi watanzania kutoka kila chuo na taasisi zingine za kielimu zitalipa ada ya shilingi 50,000 za Uganda kwa mwaka.
  • Iwapo wanafunzi/mwanafunzi hawana sifa za kuunda chama haki zao zitaamuliwa na baraza la mawaziri kadri litakavyoona inafaa.

Michango ya Jumuiya kwa wanachama

  • Kila mwanachama wa TSAU atapaswa kushiriki matukio yote pindi atakapoitajika na kuchangia michango yote itakayopendekezwa na kamati husika, mfano Get together.
  • Michango ya maafa kama vile ugonjwa, msiba utaamulia na mkutano mkuu.
  • Kila mwanachama/mwanajumuiya wa TSAU atatoa kiasi cha UGX 2000 (elfu mbili) kwa mhanga.
  • Mfiwa atachangiwa kiasi tajwa kwa wahusika wafuatao: mama yake mzazi, baba yake mzazi, mke wake na watoto wake.

Haki na Wajibu wa Msingi wa Wanachama

Haki

  • Kushiriki katika shughuli za Mkutano Mkuu.
  • Kuchagua, kuchaguliwa na kuteuliwa kushika wadhifa wowote iwapo atakuwa amekidhi sifa.
  • Uhuru wa kuchangamana na wanachama wengine wa jumuiya zingine.

Wajibu

  • Kila mwanachama atatii kanuni za katiba ya jumuiya.
  • Wanachama wote wanalazimika kushiriki katika vikao na shughuli zozote za jumuiya kila wanapoitajika.

Become a Member Today

Fill out the membership form and start enjoying the benefits of being a TSAU member.

Contact Us

Our Location

Makao makuu ya Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania nchini Uganda yatakuwa mahali ambapo Rais anatoka.


Email Us

tanzanianstudentsassociationug@gmail.com


Call Us

+256 700 000 000


Social Media

Send us a message

We're Here to Help

Have questions or need assistance? Reach out to us through any of the channels above.

Email Us